Pages Navigation Menu

100% confirmed East African news updates

PICHA 5: Sheikh Ponda alipoachiwa huru na Mahakama leo

Posted by on Dec 18, 2017 in News | 0 comments

By Millard Ayo Moja ya stori kubwa leo December 18, 2017 ni Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es salaam leo imeamuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda katika rufaa iliyokatwa na Jamuhuri kupinga Hukumu ya Mahakama ya Morogoro iliyomuachia huru Ponda. Millardayo.com imezinasa picha za Sheikh Issa Ponda akitoka katika viwanja vya Mahakama […] …read more Source:: PICHA 5: Sheikh Ponda alipoachiwa huru na Mahakama...

Read More

Mahakama yamuachia huru Sheikh Issa Ponda

Posted by on Dec 18, 2017 in News | 0 comments

By Godfrey Mgallah Mahakama Kuu ya Tanzania imeamuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Issa Ponda dhidi ya rufaa iliyokatwa na Jamhuri kupinga hukumu ya Mahakama ya Morogoro kumuachia huru kiongozi huyo. Sheikh Issa Ponda Sheikh Ponda ameachiwa huru leo mbele ya Jaji Johnson Mkasimongwa ambaye amesema anakubaliana na uamuzi wa Mahakama ya Morogoro ya kumuachia huru Sheikh Ponda katika kesi ya kutoa lugha ya uchochezi. Jaji Mkasimongwa amesema Mahakama ya Morogoro haikukosea kumuachia huru Sheikh Ponda na yeye anakubaliana na uamuzi huo, hivyo amechukua uamuzi wa kumuachia huru. Akitolea maelezo juu ya maamuzi hayo, Jaji Mkasimongwa amefafanua kwa kusema kuwa upande Jamhuri haikupaswa kumshtaki Sheikh Ponda kwa kosa lile la kuvunja amri ya Mahakama ya Kisutu bali ilitakiwa wamrudishe katika Mahakama hiyo ili imchukulie hatua zaidi. Mnamo mwezi August 10, 2013, katika eneo la...

Read More

What awaits Kalonzo as he returns from Germany

Posted by on Dec 18, 2017 in News | 0 comments

Former Vice President and Wiper Leader Kalonzo Musyoka is expected back in the country this week …read more Source:: What awaits Kalonzo as he returns from...

Read More

Makala: Matukio 10 yaliyotikisa upande wa burudani Bongo mwaka huu, 2017

Posted by on Dec 18, 2017 in News | 0 comments

By Peter Akaro Mwaka 2017 ndio huo upo ukingoni, kuna mambo mengi ya kujivunia, kusherekea, kuhuzunisha, kukatisha tamaa, kutia moyo nakadhali, yote ni sehemu ya maisha. Muziki/burudini ni sehemu ya maisha pia na kwa mwaka huu mzima kuna mengi wamejiri. Kwa upande huu pia kuna mazuri na mabaya yalitokea, Bongo5 tunakuletea matukio 10 yaliyotikisa vilivyo katika upande wa burudani kwa mwaka huu. Babu Seya na Papii Kocha kutoka jela December 9 mwaka huu wakati Tanganyika ikihadhimisha miaka 56 ya Uhuru, Rais Dkt. John Magufuli alitoa msahama kwa wasanii Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ na baba yake Nguza Viking ‘Babu Seya’ waliokuwa wanatumikia kifungo cha maisha jela. Mwaka 2004, Babu Seya na wanaye walihukumiwa kifungo cha maisha jela katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam kwa makosa ya kubaka na kulawiti watoto wadogo wa shule ya msingi, pia mwalimu...

Read More

Photos: Behold Queen B in Gold!

Posted by on Dec 18, 2017 in News | 0 comments

By Pauline Bohela Queen B is going for gold in her glitter dress as she cuddles on Jay is so sexy! The singer accessorized with matching gold jewelry and sunglasses. She showed off her style further on Instagram with several posts of the look which she coordinated with matching gold heels and hoop earrings. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp …read more Source:: Photos: Behold Queen B in...

Read More

Bushoke kuingia studio na Papii Kocha

Posted by on Dec 18, 2017 in News | 0 comments

By Yasini Ngitu Baada ya muimbaji, Papii Kocha kurudi uraiani na kukutana na rafiki yake Bushoke, wawili hao wanajipanga kuingia studio kwaajili ya kuandaa kazi mpya za muziki. Bushoke amesema amefurahi sana rafiki yake huyo kuwa huru huku akiahidi kuanza kufanya mchakato wa kumrudisha kwenye game rasmi. “Nafikiria kufanya naye kolabo,” Bushoke aliliambia Gazeti la Mwanaspoti. “Mungu akijalia ziwe nyingi, nikifanya shoo napenda ashiriki na vitu vingi napenda nimsaidie ila ziwezi kuviweka wazi,” Papii Kocha pamoja na baba yake waliachiwa huru kwa msamaha wa Rais John Pombe Magufuli. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp …read more Source:: Bushoke kuingia studio na Papii...

Read More